Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Salama salimini.Kumekucha salama.
🙏🙏🙏👍i.e kirefu ni " id est" ni Kilatini kikiwa na maana ya " Kwa maana au maneno mengine"
e.g. kirefu ni "exempli gratia" maana yake ni " Kwa mfano"
Kamaanisha nini dogoSuluka ntakapera tujobhe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Salama kabisa anko, kijana sio mtu mzuri kabisa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mungu ni mwema Ankoo, vipi familia huko?
Kijana analeta mtifuano wa ndoa asubuhi yote hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ashindwe kwa jina la Yesu. Asitutie kwenye majaribu ya kuwawazia mabaya wake zetu wazuri. Nyie akina mama wote ni wazuri kama sio ujinga wetu sisi wanaume.
Majibu Mujarabu[emoji120][emoji120][emoji120]...tena huwa unaitwa ufunguo malaya (master key) [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1400419
Naomba uzao wetu uwe kama huu muembe na wote tuseme AMEN
Mtandao wa PornHub' umekuwa na kawaida ya kutoa ofa ya bure ya kutazama video za kulipiwa (Premium) kila inapofika siku ya wapendanao (Valentine), Lengo uongozi wake unasema ni kuongeza furaha zaidi kwa watumiaji wake.
Kwa kila miaka Bilioni inayopita Jua nguvu yake huongezeka zaidi, Baada ya miaka Bilioni 3.5 itayokuja kuanzia sasa Jua nguvu yake itaongezeka kwa 40%. Hali hiyo itapelekea athari nyingi kama Bahari kuchemka , Barafu zote zitayeyuka na unyevu nyevu kwenye anga la hewa utaondoka.