andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nimeipokea kwa heshima zote.Kwema Ankoo heshima yangu kwako!
Corona imebadili kila kitu .. tuzidi kumuomba Mungu atuondolee ugonjwa huu.
Kweli kabisa.
- ulishawahi kumsikia bill gates akijisifu ya kwamba yeye ni tajiri?
- hao wote wanaojisifu ukubwa wa umri humu ndani ni wale last born (wenye sifa za kujimwambafy)
Sasa iyo sumu yako umejaza nini mpaka ikajaa
Hawa akina mod ndio waliobahatika wakazaliwa 50.nakubali......
mashabiki wote wa liverpool wamezaliwa miaka 35 iliopita hadi 50
KweliUkioneshwa picha kwenye simu na rafiki yako sio vizuri kuanza kusogeza na kuanza kutazama picha zingine tofauti na uliyokuwa unaoneshwa. Huwezi kujua picha gani inafuata baada ya hiyo uliyo oneshwa huenda ni ya faragha ama lah!
SYB mtoto wake wa kwanza yupo kindergarten.
Wewe unapenda laini kama "Ngololo" hizi ngumu huwezi kuelewaHii itakuwa ni mpya
Unadhani Kuna Cha maana Sana Basi.Sasa iyo sumu yako umejaza nini mpaka ikajaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pengine muda huu yupo juu ya mparachichi
Mbona umempendelea Sana?SYB mtoto wake wa kwanza yupo kindergarten.
ina maana shimba ana miaka 27.
bado ni mdogo sana kwako