Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Weka ngumu za kina Rado,fid Q,Prof,afande sele na mangwair,j moWewe unapenda laini kama "Ngololo" hizi ngumu huwezi kuelewa
ok, basi acha niweke list ya watu umri mkubwa humu ndaniHawa akina mod ndio waliobahatika wakazaliwa 50.
Wahenga sisi wa 35 huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntajie jina huo mstari nimesahauWewe unapenda laini kama "Ngololo" hizi ngumu huwezi kuelewa
Kwema kabisa ustadh.
Kumbe Kuna watoto wengi tu humu ila Basi tu hawasemiok, basi acha niweke list ya watu umri mkubwa humu ndani
mwenye maswali aende mamlaka ya utoaji vyeti vya kuzaliwa au NIDA
- babu andjul = miaka 55
- moudgulf = miaka 43
- saint anne = miaka 37
- myoyambendi = miaka 34
- shimba ya buyenze = miaka 33
- daemusin = miaka 31
- khantwe = miaka 27
- numbisa = miaka 26
- capital pool, mkokaa = miaka 25
- depal, ningendako = miaka 23
- davet, the happiness = miaka 21
SYB Miaka 75 (and counting) [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]ok, basi acha niweke list ya watu umri mkubwa humu ndani
mwenye maswali aende mamlaka ya utoaji vyeti vya kuzaliwa au NIDA
- babu andjul = miaka 55
- moudgulf = miaka 43
- saint anne = miaka 37
- myoyambendi = miaka 34
- shimba ya buyenze = miaka 33
- daemusin = miaka 31
- khantwe = miaka 27
- numbisa = miaka 26
- capital pool, mkokaa = miaka 25
- depal, ningendako = miaka 23
- davet, the happiness = miaka 21