Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Sio poa huo mzigo kuna ile Alone Again naielewa sana.....Scared To Live[emoji91][emoji91]
Hahah! Shame on themwanaoleta corona ni wasafiri kutoka nje, cha ajabu wanaotishiwa ni raia waliopo ndani ya nchi muda wote.
nimeenda sokoni muda huu nimeambiwa mwisho saa 10 kupata huduma ndani ya soko, kinyume chake ujiandae na fujo za wenye nchi
siruhusa kukaa vikundi (vikosi vya serikali vimeanza kutisha watu usiku na mchana wake)
kama serikali ipo kwelini walipaswa kufunga mipaka (anga na bahari)
wanachokifanya sasa ni uonevu haliyakuwa tatizo wanalifahamu linapoanzia.
Saint Anne anasemaje kuhusu hili? Wacheza rede bana [emoji16][emoji16][emoji16]Ubingwa huenda tukaukosaView attachment 1402570
We acha tu ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiku wa leo ulikuwa na vibe la hatari bro, I can feel it