Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inaweza kuwa kweli.
Mf mzuri Ni Mimi mwenyewe ..nikisimamia kitu huwa sibadili msimamo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nimeshaliona. Hata upewe facts na evidence kiasi gani. Ukiwa na msimamo wako dawa nzuri ni kukukubalia tu kwa sababu kujaribu kubishana nawe ni kazi bure. Uko vizuri sana [emoji1547][emoji1547]
 
Hao wanaokuja kutoka nje wanakuja na dola zao. Hilo ndiyo tatizo...umasikini!!!
 
Serikali yetu Ina vifaa vya kisasa vya kubaini wagonjwa wa Corona Mara tu watakapotua nchini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…