Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]saint anne anaonekana ni binti mwenye umri wa miaka 23 hadi 85.
kazi kwenu munaompunguzia umri wake
Mimi nilienda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bora yeye kaandika tu kuliko wewe ambae ulienda kabisa
Si kuchafuana boxa hukoViuno vimefungwa mota hivyo ......
Myoya maombi na Sala Kama zote.Myoya[emoji16][emoji16]
Hii ilikua ya D knob aliwashirikisha Rey C na Squezer, ilikua joint nzuri sanaHuo siujui
Sikuupenda.
Mwingine nilioukariri wa Ray c na Huyo James
Ingewezekana mi ningekuwa wako
Ila Ni wewe tu na mapepe yako
Vile ulivyobomba watu unawabamba mi nahisi nitakuwa peke yangu
Ingewezekana mi ningekuwa wako
Ila nahisi utautesa moyo wangu
Vile ulivyobomba watu unawabamba
Mi nahisi nitakuwa pekee yangu
Jamaa alikuwa anaimba Kama mlevi..hii style yake niliipenda
Sijui Yuko wapi sahizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjomba katangaza ndoa huko..Si kuchafuana boxa huko
Mimi najua wa Ray CHii ilikua ya D knob aliwashirikisha Rey C na Squezer, ilikua joint nzuri sana
"Sogea tufanye japo kiduchu ata kwenye majani ma"
Hahaa!Kichwani.
Nilikuwa mzuri Sana kukariri..
Huwezi ukausikia wimbo mwaka mzima eti usiujue
Sent using Jamii Forums mobile app
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£. Daah!Myoya maombi na Sala Kama zote.
Huyu atanifaa..
Ustaadh kwa kweli hayuko romantic[emoji85]Kama sio wa pwani vile[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Bora yeye kaandika tu kuliko wewe ambae ulienda kabisa
Kwani uongo?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Daah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Myoya maombi na Sala Kama zote.
Huyu atanifaa..
Ustaadh kwa kweli hayuko romantic[emoji85]Kama sio wa pwani vile[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa anachezea humu 26 - 29saint anne anaonekana ni binti mwenye umri wa miaka 23 hadi 85.
kazi kwenu munaompunguzia umri wake
Haka ka nyimbo ni katam[emoji126][emoji126][emoji126]Mjomba katangaza ndoa huko..
Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba mzee wa pole ndo yuko romantiki?
We kwenda hukoAtakuwa anachezea humu 26 - 29
Sana
Yaani huwa anaandika zile pole kwa kubembeleza.
Poleni wakulima,poleni walezi,
Wagonjwa
Ikifika usiku Sasa[emoji7]
Usiku wa kupeana burudani[emoji108]
Ustaadh akifika hapa Ni kuangua emoj za kicheko tu...akijitahidi Sana Ni salamu za kibabe[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ€£Ni Nani huyu jamani nifukuzie
Ustaadh hata pole hajawahi kunipa[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yako anakwama wapi?Aione mzee wa tmk[emoji23][emoji23]