Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aione mzee wa tmk[emoji23][emoji23]
Kwamba Yeye myoya Hana kazi za kufanya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Muhurumie Ostazi muda mwingi anavurugwa na machimbo ya madini kama sio hivyo utamkuta Mbugani anakimbizana na Wanyama, hapo bado asubuhi hajaanza kusumbuka na magazeti wakati huo duka lake jipya la nguo na viatu limamsubiri kufanya matangazo
Hahah! Ina vibe la hatari sema mashairi ya Maua sio poa eti 😀Haka ka nyimbo ni katam[emoji126][emoji126][emoji126]
Hii raba nzuri[emoji7]
Chungwa ya Suma leeMimi najua wa Ray C
Kuna nyimbo nazijua ila sijui hata walioimba.
We weka tu zote hata za hip hop[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀 eti usiku wa kupeanaSana
Yaani huwa anaandika zile pole kwa kubembeleza.
Poleni wakulima,poleni walezi,
Wagonjwa
Ikifika usiku Sasa[emoji7]
Usiku wa kupeana burudani[emoji108]
Ustaadh akifika hapa Ni kuangua emoj za kicheko tu...akijitahidi Sana Ni salamu za kibabe[emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfyuuuu
Wewe ruka ruka ila humo hutoki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Muhurumie Ostazi muda mwingi anavurugwa na machimbo ya madini kama sio hivyo utamkuta Mbugani anakimbizana na Wanyama, hapo bado asubuhi hajaanza kusumbuka na magazeti wakati huo duka lake jipya la nguo na viatu limamsubiri kufanya matangazo
Kakayangu yuko busy kutafuta pesa[emoji23]Kaka yako anakwama wapi?
Amina njoo nikutume kwa AishaChungwa ya Suma lee
Hebu kuwa wewe romantic kwanza umfundishe na kaka yangu[emoji23][emoji23]Kwamba Yeye myoya Hana kazi za kufanya?
Ustaadh hayuko romantic
Kila mtu Ana kazi..
Hata Mimi mchuma maparachichi tu wa hapa nyumbani bado Nina kazi
Raba zenyewe za dukani kwake kila nikimwambia nataka pair Mona hataki hata kunijibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo nipo Mimi Sasa.Mfyuuuu
Fote mchezo[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bro anaendekeza zaidi vijiwe vyake vya kahawa kubishania Siasa na mambo ya corona ila anasahau kuwa ama chombo ya MbeyaKwamba Yeye myoya Hana kazi za kufanya?
Ustaadh hayuko romantic
Kila mtu Ana kazi..
Hata Mimi mchuma maparachichi tu wa hapa nyumbani bado Nina kazi
Raba zenyewe za dukani kwake kila nikimwambia nataka pair Mona hataki hata kunijibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe ruka ruka ila humo hutoki
swadakta (hivi ni mwaka gani alihudhuria show ya ali kiba?)Atakuwa anachezea humu 26 - 29
Hiyo Simba nilishamkataza kufwatilia hao Simba Koko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapohapo hajaanza kufuatilia habari za liva na simba
Pesa huku raba zenyewe hanipiKakayangu yuko busy kutafuta pesa[emoji23]