Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Hito nyimbo inauhusiano gani na kuwa andaeitini??[emoji849][emoji849]
Nilitaka kukuquote hiyo hapoAnakwambia ya moto inaunguza[emoji23][emoji23]
Hizi nyimbo za siku hizi huwezi sikiza na watu wazima kwakweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfundishe taratibu ataelewa tu
Ina maana sura yangu mbaya haina huruka ya kuvutia 🎵Inamana penzi ingekuwa chombo cha usafiri ningekosa hata sehwmu ya kusimama♪♪
Marioo-aya
[emoji23][emoji23][emoji23] maua mjinga sana."Simamia kucha mgambo wangu rungu suuza"
Shwaini zao hawa nyimbo zimekuwa kama video zetu zile, yani nyimbo tunasikilizia vyumbani kimaficho labda ukienda club ndio unaenjoy zaidi...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanangu mkubwa akioa nitakuwa Bibi rasmiSawa
Ukifikia kwenye ubibi useme
🤣🤣🤣🤣Ustaadh gani utadhani amezaliwa Mara tarime buana
Kumbe wa hapa pwani kwa wajanja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeisikia hiyo nyimbo??Nilitaka kukuquote hiyo hapo
Unajua uzee Tena huu nikachanganya mafaili[emoji1787]
Hapo umesema hizo nyimbo huwezi sikiliza na watu wazima
Sent using Jamii Forums mobile app
saint anne amezaliwa mwaka 1994Ilikua 2010 - 11 alitolewa out baada ya kuhitimu kidato cha nne
Mh Temba ft MakamuaHivi ule wa kiulaini Ni wa Nani?
Japokuwa sijui Nini kiulaini
Kiulaini
Kumchanganyachanganya
Kumdanganyadanganya
Umpate kiulani
Kiulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah inachangia sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi kuwa na mambo mengi ndo sababu ya kutokuwa romantic??
Ina maana sura yangu mbaya haina huruka ya kuvutia [emoji444]
Yeah inachangia sana
😂😂😂😂😂😂😂 eeeeh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba bro ni mzee wa mama bhoke hebu geuka huku kwanza?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]2010-11 Muhenga analilia kurudishwa nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#Shwainizako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eeeeh!
Monko kiroho safi watu wanalala
Tema mate chinisaint anne amezaliwa mwaka 1994