[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu mtoto ni shida sana.
Ninacho weza kushukuru kwenye huu uzi ni upendo bila kujali tofauti za umri na status zetu.
Ipo siku isiyo na jina itafika, ambapo
myoyambendi atawekwa wazi wote tutashangaa...
moudgulf huyu huyu watu hawataamini... Kwa
SHIMBA YA BUYENZE kwa wanaopenda kusoma sana sijui watesemaje kwenye usimamizi wa kupata vidigirii vya juu zaidi... Huyu
Daemusin na hizo lugha zake...acha nchi yetu isifiwe popote Africa. Mimi nipo busy kumshauri
Davet anyoe kishungi chake kichwani na vindevu vyake uchwara kisa tu ana rangi nusu ya....basi imekuwa fulu fujo mtaani.
Nitawaletea maparachichi popote mlipo maana mmekuwa faraja kwangu.
Mungu awabariki sana[emoji120][emoji120][emoji120]
Khantwe [emoji120]
Numbisa [emoji120]
The Happiness mama uvumilivu [emoji120]
ZoΓ« ghwa kukaja kungana [emoji120]
Bradha jezi mpya [emoji120]
ningendako [emoji120]
Yegomasika mzee mwenzangu [emoji120]
Nsamaka (mtalaka hatongozwi) [emoji120]
Mkokaa [emoji120]
capitalpool [emoji120]
Kgothalo [emoji120]
Depal mama K (miezi 9 sio mingi) [emoji120]
Saint Anne binti matata [emoji1][emoji1][emoji1][emoji120]
We are family....
Popote ulipo
Cole Williams [emoji137] na
kivuruge nimewakumbuka sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app