carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Amina shem[emoji120][emoji120]Huku hivyo hivyo. Kichaa wao alisema wakati wa Pasaka atafungulia kila kitu ila imebidi aongeze mwezi mzima na wachambuzi wanasema pengine mpaka Juni ndiyo mwanga utaanza kuonekana. Ni kukaa ndani tu na kula likes ...
Mungu Atulinde shem [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
MamboAmina shem[emoji120][emoji120]
Mungu aendelee kutulinda
Act accordingly, lazima atalalamika sana na hii itasaidia kumshtua ataona kumbe ata bila yeye maisha ya watu yanaendelea, ila kama hakuelewi nae atapiga kimya alafu itakua imeisha kihivyo yaniIpi hiyo hebu niambie
😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha kunisingizia bhana
Huo siujui naujua ule wa mbeya ni kijiji kikubwaUle wa Battle ya Arusha na mbeya.
Uzuri wamekutana wote wa kujimwambafai..wanyaki na wachagga
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na ex[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Yeeeeeeesssss !!!
View attachment 1404208
Haya maswali bhana[emoji23][emoji23]#Hakuepukiki....
View attachment 1404210
[emoji23][emoji23][emoji23]khaaa!!Why not? [emoji3]
Mmh[emoji848][emoji848][emoji848]Nasema tena....
#Hakuepukikiiiii [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1404220
Unarudi lini ety?
Lewa
You got played...
She just wanted to have the last laugh....
Ego issues [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1404232
Ukipita ya buza nipitie hapa kwa mama k
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
PoaMambo
Hapana mkuu... UnitedChama lako ni Buyern nini?
hahahaha