Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa heshima ya P funk majani kuzaliwa
Naomba unichanie huu wimbo
Daz nundaz #8
Jamaa alitengeneza mziki mzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye umbo namba8 ananichanganyaaa...
Toka Moyoni nasema nampenda sana......
Embu piga hilo guitar Majani kama Santana
Ili na mimi nimuimbie Mamaaa... 🎶🎶
 
Nitakuja inbobo tutaongea mengi mambo mengine ni privacy
Mm nipo mkuu majukumu tu yanabana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…