moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Yaani hata waifu akikukuta na mchepuko wa hivi itabidi akupongeze tu halafu mnaondoka pamoja kurudi home [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1405146
Haya Ni majani ya magimbi moudYanaonekana kama majani ya magimbi au la majani ya ugoro (majani ya tumbaku) majani ya nini huyo mtakatifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Sana DavieUtukaribishe na sisi tujionee kama ni tamu au sio tamu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani hizo code unazielewa?
Vipenzi vyangu Mimi jamani[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji8]
Hawa watu wangejua ninavyowapenda[emoji3590][emoji3590]
Hembu ongeza ingine uliyogeukia mbeleNaam naam mkuu
Yaani Hawa watu siku wakija bongo nitafunga safari kwenda kuwaona
KUWA MAKINI KESHO KUEPUKA USUMBUFU.
________________________
Kesho asubuhi, April 1, 2020 kutakuwa na ule upuuzi wa " Siku ya Wajinga Duniani ", katika taarifa na habari mbalimbali kupitia mitandaoni.
Napenda kuwakumbusha wapendwa wote, kuwa makini na baadhi ya taarifa mbalimbali zitakazokuwa zikitolewa siku ya kesho (hasa asubuhi) kupitia mitandao na sehemu nyingine kuwa, zinaweza kuwaletea sintofahamu au usumbufu kwa muda katika shughuli zao, kama hautokua makini.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
View attachment 1405265