Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
ππππππ πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hapo mama janeth anakuwa ameshikilia Lile jiwe mbele ya jiwe
Hivi ule wa
"Mtoto wa kiume niacheni nijitume
Kama matunda yangu yapo Basi niacheni niyachume
Nimeshakula msoto tangu nilipokuwa shule Kama nimechomwa Moto basi niacheni nivune"
Waimba wa kina Nani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sadaka zangu sitoagi kifwala hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio wewe huyo huyo
Ewaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji119][emoji119][emoji119]
Mtoto wa Iringa Mungu amlaze mahali pema
Anaitwa Geez Mabovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Burundi wameshapata vipimo
Hujakutana na watu wanaojua kupiga msasa wa kiimaniSadaka zangu sitoagi kifwala hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote hao nimewaona.Hujakutana na watu wanaojua kupiga msasa wa kiimani
Geez anayo ile nyingine inaitwa "Mimi"Ewaaa
Geez
Nimekumbuka
"Mi najua mmenimiss Sana watu wangu wa kitaa"
Huu je?
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unasimamia misingi ni jambo jema na hutokaa kupigwa kuzembe au kununulishwa Maji ya baraka au kukanyaga mafutaWote hao nimewaona.
Mimi huwa namsikiliza mtu huku nikipima Kama anaenda sawa na maandiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mbona sikumbuki[emoji848]Geez anayo ile nyingine inaitwa "Mimi"
Mimi ni zaidi ya msanii
Mimi ni kioo cha jamii
Me ni kamanda wa Jeshi makuruta wanani tii [emoji445][emoji444]
Hiyo mlinimisi aliimba mtoto wa Singida kwa kina Ninge anaitwa Cyril aka Kamikaze
Embu vuta picha humo ndani yupo Geez, Chid, J mo na Fid....... usiache kuutafuta
Hizi chumvi na utumiaji wa maji ipoKama unasimamia misingi ni jambo jema na hutokaa kupigwa kuzembe au kununulishwa Maji ya baraka au kukanyaga mafuta
Ukinijia akilini nitaukumbuka[emoji848]Embu vuta picha humo ndani yupo Geez, Chid, J mo na Fid....... usiache kuutafuta
Ujasiri wa maisha yangu nanananaEmbu vuta picha humo ndani yupo Geez, Chid, J mo na Fid....... usiache kuutafuta
Kukumbuka mashairi au?Ukinijia akilini nitaukumbuka[emoji848]
Mtaalamu Fareed Kubanda
Nashangaa sikumbuki wimbo wake hata mmoja eti[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio wakristo tu ata huku upande wa pili kuna watu wana mitazamo hasi kabisa juu ya watu wa imani nyingine....Hizi chumvi na utumiaji wa maji ipo
Lakini wao wanavyoyatumia sasa...
Mimi siji kwenda kufanya huo ujinga.
Juzi nilikuwa nimeweka earphones zangu nasikiliza Qaswida huku naimba..kuna watu wakawa wananikejeli,wananipinga.
Nawauliza sababu,eti wanasema nyimbo za hovyo,utapata majini..nikawauliza majini yako wapi?
Nimegundua wakristo Wengi Ni wafwata mkumbo tu,hawatulii wakasoma na kuyaelewa mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ewalaa! Ndio hiyo hiyo sasa....Ujasiri wa maisha yangu nananana
Nanana kuitwa mtu mzima[emoji134]
Dah kumbe huu..Sasa Sijui nimeusahau vipi huku ulikuwa Kama kifungua kinywa[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilibahatika kuishi na kaka vichaa walahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusahau tumeumbiwa binadamu π
Nilikuwa siupendi huu wimbo ila unakuta kaka yangu ameuweka asbh Hadi jioni..Kukumbuka mashairi au?
Naye huwa ana mashairi magumu labda nyimbo kama *Usinikubali haraka* kidogo mashairi yake ndio yanabebeka