The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]ndo hvyooHahah! Ile si mwisho saa nne lakini?
Ngoja nipiganie kwanza jamaa atume mzigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naitaji pakti moja tu kwenye huo mzigo wako, niko hapa njombe[emoji2088]
Haha! Na vile unajua kutia mkazo, nakuaminia[emoji7]Ngoja nipiganie kwanza jamaa atume mzigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile shukrani zangu haziwezi kwenda [emoji1787]
Wewe na KD sitawasahau
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu Sana boss[emoji7][emoji120][emoji120][emoji120]Nimeamini kumbe Unaweza kuvutiwa na mtu kwa Maandishi tuu Aisee
Saint Anne [emoji7][emoji7][emoji7]
Hahah! Alafu huu uandishi kuna mtu ushamvutia kazi kwako sasaYaani aliniacha hoi Sana
Na Mimi kichwa changu kilivyo kibovu Wala sikuacha kuvaa..huwa siyumbishwi hovyo kwenye mambo yangu.
Tunaosali nao nilikuwa nakutana nao,muda mwingine nimevaa ushungi..tena wananisalimia salamu ya kanisani,fresh tu na maisha yanaenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Siumeona yebo za mtoto hizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haha! Na vile unajua kutia mkazo, nakuaminia[emoji7]
Yaani kwamba Kuna mtoto kazaliwa au yebo zinauzwa?Siumeona yebo za mtoto hizo
Sasa wala hii sikukuu yenu haina uhusiano na maandishi yangu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]ndo hvyoo
Nimeshaahidiwa katoni ya juisi mwenzioHahah! Alafu huu uandishi kuna mtu ushamvutia kazi kwako sasa
Th anamzingia Carba kwamba kishavunaYaani kwamba Kuna mtoto kazaliwa au yebo zinauzwa?
Mimi mwenzio lugha za alama sijui
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja Ostaz ajeNimeshaahidiwa katoni ya juisi mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshaahidiwa katoni ya juisi mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahhaaNgoja Ostaz aje
Unaruka tu viunzi[emoji19]Sasa wala hii sikukuu yenu haina uhusiano na maandishi yangu
[emoji2089][emoji2089]
We naye naona unaniongezea ugumu wa kuelewaTh anamzingia Carba kwamba kishavuna
Mwache aje tuNgoja Ostaz aje