Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Korona ikiisha tu pandisha kwenye pipa huyu Mnyakyusa kama ulivyoahidi kamanda. Tutakukumbusha [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Leo umedamka sana. Kuna mtoko?
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Ndio kitu muhimuTutafute pesa bro 😀
Dogo hujamboMasela vipi mambo
Masela vipi mambo?
Kd vipi mambo
Mkokaa vipi mambo
Madogo zangu vipi mambo
Wana hiphop vipi mambo
Wanalikes vipi mambo
Hapo dar vipi mambo....
Poa[emoji444][emoji445][emoji443]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tofauti za kifonolojia na kifonetiki pia ni viashiria vizuri vya kujua kabila la mtu kwa sababu mara nyingi husababishwa na athari za lugha mama kwenye lugha ya pili. Ninaweza kubashiri kabila la mtu kwa kusikiliza lafudhi yake na anavyotumia baadhi ya maneno:That's what's Up Anne [emoji111][emoji111]
Haimaanishi kabila au ulipotoka ila inakuwa ni kutaka urahisi tu wakuandika ukiangalia na mazingira unapofikisha ujumbe husika, pia athari za makabila kwenye lugha nahisi inakuwaga kwenye matamshi zaidi ya maadashi
Vimbaumbau ni shida [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1406519
Sent using Jamii Forums mobile app
Wahehe mko wengi eeeh!?
Kwema bro. Vipi huko kwako? Depal bado hajapata appetite?
Huku fresh... yeye nimemwacha chugaKwema bro. Vipi huko kwako? Depal bado hajapata appetite?
Na wewe ukaenda ChunyaHuku fresh... yeye nimemwacha chuga
😀😀 Kufanyaje hukoNa wewe ukaenda Chunya
Wewe uko wapi?Huku fresh... yeye nimemwacha chuga
Apetaiti isharudi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]