Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama ulivyonibashiria asubuhi ukachana mkeka bro....

Huyo Mchaga atasema Nji badala ya Nchi lakini kwenye kuandika ataandika Nchi badala ya Nji

Huyo Mmakonde atasema ntu badala ya mtu lakini kuandika ataandika mtu sio ntu

Ndio maana nikasema hizo athari mara nyingi hutokea kwenye matamshi kuliko kwenye maandishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…