Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Isimujamii sio chanzo cha ule uandishi bali ni kutafuta urahisi wa uandishi tu ukizingatia sehemu ambayo ujumbe unapelekwa sio sehemu rasmi (nimerudi kwenye mada kuu)
 
Hakutakua na maswali kwa waziri mkuu kutokana na covid-19 πŸ˜€πŸ˜€.

Hebu uliza, swali la msingi lakiniπŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ eti swali la msingi. Daah

1. Kama nina Video yenye 20MB nikataka kuiupload sehemu (let say labda WhatsApp status) wakati wa kuupload itanikata hizo 20 MB kwenye bundle langu au?

2. Vipi kuhusu mtu ambae ataview ile status yangu nae atakatwa hizo hizo mbz size sawa na ukubwa wa status aliyoiview?
 
Isimujamii sio chanzo cha ule uandishi bali ni kutafuta urahisi wa uandishi tu ukizingatia sehemu ambayo ujumbe unapelekwa sio sehemu rasmi (nimerudi kwenye mada kuu)
Tunaona athari hizi zinazichomoza hata katika mazingira rasmi (magazetini na hata vitabuni). Ni jambo la kawaida na siyo kweli kwamba lina kisababishi kimoja tu kama unavyodai (urahisi wa uandishi).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…