Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Nimekubali Kama Wewe Ni kifaa*Kikuku cha Mama Roda
*Kasuku wange
*Nimekubali kama wewe ni kifaa ft Temba
*Basi kama vipi nataka kwenda nawe ft Ray C
Mbona sasa amezubaa[emoji85]Wajanja wajanja sana
Hii Swanglish nahisi ndio imechangia sana kupunguza ufanisi katika lugha ya KiswahiliIfike mahali tuchague moja. Kama ni Kiingereza ni Kiingereza. Kama ni Kiswahili ni Kiswahili. Hii mshika mbili zote zimeshatuponyoka....
Nadhani Ni mkenya.Duuh!
You slap it and watch vibrate in slooo mooo...Dem waves when you are giving her serious backshots[emoji91][emoji91][emoji91]
Kuvaa kupendeza
Kuvaa kupendeza
Hajazubaa yule sema tu anaogopa kuchafua image yake katika jamii ....Mbona sasa amezubaa[emoji85]
Temeke kazi ipo[emoji23]
Kutushusha sisi kazi ipo
Nanananana tmk kiboko Yao
Makofi kwa mola....
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu amlaze pema huyu fundiNimekubali Kama Wewe Ni kifaa
Nimekubali ........
....uzuri wako we
Sasa Leo nimeona mwenyewe
Nimekubali Kama we Ni mzuri
Ohoo ..huu nimeukumbuka
.....iwe siri
Na huo wa mwisho nimeukumbuka ila kuimba siuwezi.
Hizo mbili za mwanzo sikumbuki kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kushikwa nazo ndio shughuliKuvaa kupendeza
Kufua shughuli nzito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hajazubaa yule sema tu anaogopa kuchafua image yake katika jamii ....
TMK kiboko yao
TMK wape salamu zao
Sera yetu ha lugha ni ya hovyo bro...Hii Swanglish nahisi ndio imechangia sana kupunguza ufanisi katika lugha ya Kiswahili
Kushikwa??! Na kwanini uvae visivyokuhusu? Huo ni uchokoziSio kushikwa nazo ndio shughuli
Bongo.Com - TNG SquadNadhani Ni mkenya.
Nikibahatika kupata wimbo nitakuambia ..
Kuna kiwimbo kingine hivi
Wanaimba
Bongo...
Hapo Kati sijui wanachanaje
Wanamalizia
Sijui nashika kamata naweka kabisa
Poor me[emoji24],umenitoka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app