Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mimi sijasoma stella nimeishia la 4c

Kwahiyo shule ndo mnakunywa soda mshibe?
Mlikuwa hamuujui uji?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sentensi ya mwisho sikuiona.
Sasa mama uji nitakunywa kila muda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza uji unalewesha huo[emoji85][emoji85]usingizi wake si wa nchi hii..
Mimi naangalia ujazo na utamu jamani[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lugha zote za mkoa wa Mbeya, Songwe,Iringa,Njombe,Kilimanjaro,Shinyanga/Mwanza/Simiyu,Kagera na Mtwara nitapigwa chenga kuongea lakini sio kusikia.
Hauja nikwepa popote, nimekunywa uji wa mgonjwa nikiwa Mpemba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kama we ni mwoga utaniogopa kweli
Hivi, hizo shughuli zenu ni lazima muwe siriazi?
Mimi huwa sipatani na ndugu zangu kwasababu ya sura zao za ukauzu hivyo hivyo. Nikilambwa kwenye mistari ndio nawakumbuka japo nitasemwa kwa kila neno la marehemu wangu lakini hewala nipite tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi shughuli yangu ndio inanilazimisha kukenua kenua sipo huko unakofikiria ankoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…