Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lugha zote za mkoa wa Mbeya, Songwe,Iringa,Njombe,Kilimanjaro,Shinyanga/Mwanza/Simiyu,Kagera na Mtwara nitapigwa chenga kuongea lakini sio kusikia.
Hauja nikwepa popote, nimekunywa uji wa mgonjwa nikiwa Mpemba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unabadili tu location [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asavali, nahisi nakufahamu maana hiyo idara ni marafiki zangu sana. Mungu azidi kukutunuku hekima, busara na afya njema.Mimi shughuli yangu ndio inanilazimisha kukenua kenua sipo huko unakofikiria ankoo
Amen ankooAsavali, nahisi nakufahamu maana hiyo idara ni marafiki zangu sana. Mungu azidi kukutunuku hekima, busara na afya njema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shwaini zako nimekukomesha [emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu nahisi kesho na confirm AnkooAmen ankoo
Sawa ankooHalafu nahisi kesho na confirm Ankoo
Ikifika jioni tutaongea kama ni yeye yupo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Nimekuogopamo! 😁🏃♂️🏃♂️🏃♂️Mimi shughuli yangu ndio inanilazimisha kukenua kenua sipo huko unakofikiria ankoo
Unaogopa nini Yego hem rudi hapaNimekuogopamo! [emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mlugaluga, tulia. Baada ya UGUMU Yego ataomba Sup ya hilo darasa. 😁Nimekumbuka mbali... Darasa la Pyaar na kijana mdogo Yegomasika sijui mwisho wao ulikuwaje?!!
Somo likawe jepesi kwenu maana msukuma huwa ni mnyenyekevu sana kwa binti mweupe na mwenye utipwa tipwa mchanga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Shindwaaaaa.... Sambadaraboramashika... Oooo pepo tokaaaa kwa upepo wa kisulisuli Yego apate mke mumo kwa mumo hata kama ni mgumu lalalalaaaaashika....Nimekuogopamo! [emoji16][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Bana eeh. Kunguru muoga mie.Unaogopa nini Yego hem rudi hapa
[emoji16][emoji16][emoji16] anko bwanaShindwaaaaa.... Sambadaraboramashika... Oooo pepo tokaaaa kwa upepo wa kisulisuli Yego apate mke mumo kwa mumo hata kama ni mgumu lalalalaaaaashika....
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu ujue huwa najiuliza maana ya hili jina lakoBana eeh. Kunguru muoga mie.
Tangu ujana wake tupo tuisheni pale Mtendeni hajawahi kukaa karibu na wasichana... MuacheUnaogopa nini Yego hem rudi hapa
Hahaaa, una balaa wewe mtu. 😁Shindwaaaaa.... Sambadaraboramashika... Oooo pepo tokaaaa kwa upepo wa kisulisuli Yego apate mke mumo kwa mumo hata kama ni mgumu lalalalaaaaashika....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni mzee mwenzangu, bila kukemea atakufa bila kuoa[emoji16][emoji16][emoji16] anko bwana
[emoji16][emoji16] usiniambie anaogopa wasichanaTangu ujana wake tupo tuisheni pale Mtendeni hajawahi kukaa karibu na wasichana... Muache
Sent using Jamii Forums mobile app
Kesho nitakuja nyumbani tukemee vizuri anko