Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,566
- 88,575
Teh mie nakuonaga serious hata huku jukwaani ujue, hadi kuna muda huwa nakuogopa.Halafu siku uje mtaani kwetu unione ninavyojifanya niko siriaz 24/7
Kumbe uliona? 😀Unabadili tu location [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen 🤲Ugumu upo hapo.
Nimeifungia familia yangu, nimemkumbuka binti yangu pekee kitinda mimba lakini siwezi kuungana nao, nimetoka kuongea na mama yao sasa hivi, nimejisikia vibaya sana lakini natakiwa niwalinde. Mungu nipe ujasiri na afya njema niione familia yangu tena...
Naumia sana [emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mimi huyuhuyu?Teh mie nakuonaga serious hata huku jukwaani ujue, hadi kuna muda huwa nakuogopa.
Japo comments zako zinachekesha, ila dakika mbili mbele huchelewi kumchenjia mtu.
Kumekucha bro, aje pande hizo?Tunaishia kufia mabatani kama Nzi ndani ya glasi ya bia
Mungu ni mwema bro, vipi lakini amani ipo?Kumekucha bro, aje pande hizo?
Amani imetawala, siku njema huko.Mungu ni mwema bro, vipi lakini amani ipo?
Dah! Pamoja sana mwanangu wa nguvuAmani imetawala, siku njema huko.
Ankoo, nimejikuta tu hata sikujua nilicho andika. Juzi kati nilikuwa huko chini wanako sema kuna case 10,kiuhalisia sio kweli.Ameen [emoji2969]
Haya maandishi yako Anko yanasikitisha sana
Amani imetawala, siku njema huko.
Bradha junyiaa?!!Dah! Pamoja sana mwanangu wa nguvu
Salamu nyingi kwa jr na ubavu wetu
Bado sijajua ni kwanini mamlaka husika huwa wanaficha baadhi ya takwimu? Ila kabla hujarudi nyumbani umefanya uamuzi wa busara sana AnkoAnkoo, nimejikuta tu hata sikujua nilicho andika. Juzi kati nilikuwa huko chini wanako sema kuna case 10,kiuhalisia sio kweli.
Wenye mamlaka yao wanajua wanacho kifanya, nimejiegesha gheto nijiangalizie kwa siku kadhaa kabla sijapanda huko.
Kwema lakini?
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Bradha junyiaa?!!
Aisee tushaanza hadi kusahau watoto sasa.
#junyiawakolini?
#ningetwins,Bradhajunyia,wewelini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima ya ukoo [emoji1][emoji1][emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuombe uzima Anko nitajitahidi sana na mimi niwakilishe
Aisee!!“If the Premier League officials cancel the season and don't hand Liverpool the Premier League title, we can officially confirm that God is a Manchester United fan.”