Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Heshima ya ukoo lazima ilindwe π
Bado hawajatoa taarifa rasmi kwamba msimu unaishaje; kwa hali ilivyo ligi kwa mwaka huu imeisha sema sijui watapangaje matokeo.
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] kweli tena wewe huyo huyo, naonaga majibu yako namna unavyoshushua watu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mimi huyuhuyu?
Aisee ila mtu hadi nimshushue kanianza[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] kweli tena wewe huyo huyo, naonaga majibu yako namna unavyoshushua watu.
Hata sijui tunazungumzia nnNiambie ww unaitaje
Teh mie nakuonaga serious hata huku jukwaani ujue, hadi kuna muda huwa nakuogopa.
Japo comments zako zinachekesha, ila dakika mbili mbele huchelewi kumchenjia mtu.
Kumbe sio mimi peke yangu, hata mimi huwa namuogopa sana Khantwe.. Yupo siriaz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mimi huyuhuyu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
Mnaumwa ninyi [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe sio mimi peke yangu, hata mimi huwa namuogopa sana Khantwe.. Yupo siriaz
[emoji23][emoji23]jack ryan season 1:
nimeidownload Ijumaa iliopita, nimeanza kuiangalia jioni ya leo.
Davet mtoto wa gheto (leo si mtoto wa geti kali)
ningendako (mnywaji serengeti lager),
heshima kwenu.
hii project imenivutia (sijaimaliza lakini imenibidi niitafute season 2)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mzee wa peaky blindersningendako ndiye balozi wa hayo madude.....
acha niangalie hii kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli aisee,legeza kidogo bwanaMnaumwa ninyi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16] haya nitajitahidi ingawa mimi naona niko sawa tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni kweli aisee,legeza kidogo bwana
Chid kwenye ubora wake..Hasira za nini - Chid benzino
Angalau siku hizi kidogo[emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16] haya nitajitahidi ingawa mimi naona niko sawa tu
Picha lishaishaHata sijui tunazungumzia nn
Kumbe kuna maendeleo basi ngoja nitembee kifua mbere...mimi mzima kabisa sijui kwenu hukoAngalau siku hizi kidogo[emoji2][emoji2]
Mambo vp?uzima upo hapo?