Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 62,068
- 127,679
Ahsante na kwako piaHuku salama pia, nikutakie jumapili njema yenye kupendeza hapo.
Hahaha anko bwanaHasa mkikutana na yule "furushi" jael-espy-atoto hamfai hata kwa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nirudi nyuma
Kumbe tuko wengi tunaomuogopa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Teh mie nakuonaga serious hata huku jukwaani ujue, hadi kuna muda huwa nakuogopa.
Japo comments zako zinachekesha, ila dakika mbili mbele huchelewi kumchenjia mtu.
Heeeh!
Ndiyo. Unaogopesha [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani mimi huyuhuyu?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hasa mkikutana na yule "furushi" jael-espy-atoto hamfai hata kwa bure.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo wengine wanafuata mkumbo, wakiona mtu anasema naogopeka basi nao wanajitia kuniogopa khaaa usiniulize ni akina naniNdiyo. Unaogopesha [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Tulia hivyo hivyo we msukuma[emoji16][emoji16]Kumbe tuko wengi tunaomuogopa? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo wengine wanafuata mkumbo, wakiona mtu anasema naogopeka basi nao wanajitia kuniogopa khaaa usiniulize ni akina nani
Mbali na ushamba, Wasukuma hatuna jingine. Kwema huko lakini?Tulia hivyo hivyo we msukuma[emoji16][emoji16]
Kwema habari ya huko?Mbali na ushamba, Wasukuma hatuna jingine. Kwema huko lakini?
Poa kabisa. Tunakula mahubiri online tu. Mungu ni mwema [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Kwema habari ya huko?