Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lodge zote magodoro yamevishwa nepi. Shida tupu hawa watu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Jibu umeliona?
Lodge zote magodoro yamevishwa nepi. Shida tupu hawa watu [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mmhh mie naona kama mara nyingi huwa haupendi utani, mfano mtu anaweza akakuambia kitu ambacho unaona kabisa ni utani ila ukampea jibu short and clear ambalo linaashiria kuwa uko serious.
Na vyenye haunaga maneno mengi sasa
Ostaadh in da hausi !
Yeah uko sahihi kabisa na ndiyo maana huwa simtanii, hata nikitaka kumjibu comment yake huwa najifikiria sana niandike nini nisije nikaandika kitu cha kumkwaza.Salaam Zoĕ.
Ndivyo tulivyo, kuna waopenda utani na wasiopenda.
Ukimjua nenda naye anavyotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi mzima sheikh..vipi hali yako?