Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Si huyo waziri wenu, nilikuwa namuona mtu wa maana kumbe naye wale wale tu.Nini kikushushe hapo?
Ni hilo joka lililouliwa au Kigwaboy?
Halafu huyo mwanaume akifanikiwa utamsikia "sasa ndiyo muda muafaka wa kutafuta wale wanawake wa type yangu ambao niliwakosa kipindi sina hela"
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inaonekana ana bustani kubwa sana, kongole zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaona Fanta hapo?
Hawa masikini sio watu wazuri kabisaHalafu huyo mwanaume akifanikiwa utamsikia "sasa ndiyo muda muafaka wa kutafuta wale wanawake wa type yangu ambao niliwakosa kipindi sina hela"
Alibidi nirudi kuangalia picha tena[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] inaonekana ana bustani kubwa sana, kongole zake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujaona Fanta hapo?
Utamiminiwa Fanta kwenye hicho kikombe chako cha chai utaacha wenzio wale mkate
Alibidi nirudi kuangalia picha tena
Akili yangu inawaza upuuzi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na huu umasikini wangu kweli naweza pata mtu kwa kuonewa huruma?Hawa masikini sio watu wazuri kabisa
Kwanza Ni viburi..Mimi ndiyo maana nasemaga usimpende mwanaume kwa kumuonea huruma kisa Ni masikini
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂Kama kawaida yako
Jinga wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu huwa wanataka wapendwe kwa huruma tu,unamtongoza mtu hajakupenda,unataka akuonee huruma eti kisa huna hela..Na huu umasikini wangu kweli naweza pata mtu kwa kuonewa huruma?