Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wamarekani wajiandae kisaikolojia.
Marekani na Dunia kwa jumla hasa bara la Afrika wajiandae kisaikolojia kushudia vifo vya watu wengi kwa wakati mmoja kutokana na ugonjwa wa Corona. Hayo yamesemwa na rais wa Marekani Donald Trump.
Trump ametoa angalizo hilo baada taifa lake kupoteza watu 1344 ndani ya masaa 24.
Hiyo ni idadi kubwa sana kuwahi kutokea kwa masaa 24 tangu ugonjwa huo ulipolipuka Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…