Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shwari bro,, sio kheri bro, imebidi nirudi mara ya pili tena kucoment[emoji16][emoji16]Vipi bro? Mguno wa kheri huu kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Nimeona....Shwari bro,, sio kheri bro, imebidi nirudi mara ya pili tena kucoment[emoji16][emoji16]
Sana bro,Nimeona....
Muumbaji ni fundi sana akiamua...[emoji16][emoji16][emoji16]
Tunapinga chanjo ya corona ila ARVs tuna zibugia usiku na mchana, utafiti walifanyia wapi? Wanasema viruses wa Ukimwi na corona wamezalishwa na mabeberu, mbona magonjwa ya mabusha, matende, ukoma, malaria,n.k. ni magonjwa ya Kiafrika, tafiti na chanjo zimefanyika hapa hapa(Dr.Mwele) na tumepona, kwanini hatukukataa?Haki ya nani mimi ningekuwa beberu ningesitisha chanjo na madawa yote ndo tuone sasa itakuwaje.
Umenikumbusha jana, nikajisemea tu "huyu mzee hawezi kukosa nyimbo za Mwakipesile humo"[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1409715
Mbarikiwa Mwakipesile ndiye dereva wangu kokote niendako. Mnyakyusa yule anajua sana. Tena kuna nyimbo mbili za Kinyakyusa nazipenda balaa japo sijui kinachoimbwa...[emoji1545][emoji1545]Umenikumbusha jana, nikajisemea tu "huyu mzee hawezi kukosa nyimbo za Mwakipesile humo"
Kwa hakika driving ukitaka iwe na raha basi, zitawale nyimbo za dini, barabara inakuwa imenyooka kiupako...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo unagundua leo bro?Kumbe Zoe ndio Karma