Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Njia pekee ya kujinasua ni mpaka pale tutakapoweza kufanya tafiti zetu na kutengeneza chanjo ba madawa yetu wenyewe. Vinginevyo haya ni makelele tu. Chanjo zitakuja tutachanjwa na madawa yatakuja tutabugia tu....
 
Njia pekee ya kujinasua ni mpaka pale tutakapoweza kufanya tafiti zetu na kutengeneza chanjo ba madawa yetu wenyewe. Vinginevyo haya ni makelele tu. Chanjo zitakuja tutachanjwa na madawa yatakuja tutabugia tu....
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uchawi upo jamani kuna mzee nilimkopa pesa mwezi sasa ila cjapata pesa yake kanipigia cm kunikumbushia deni lake muda c mrefu nikamdanganya nimefiwa na baba yangu ile nakata cm tu nasikia sauti dirishani ya huyu mzee.NENDA MSIBANI BABA YAKO KAFA KWELI Saivi ndo nimekaa tu hapa simu zinapigwa ila cjapokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sana bro,

Salama huko bro? Hope hamjambo na mnaendelea vizuri,tumshukuru Muumba kwa kutufanya tuwe hai hadi dakika hii bro.
Huku hatujambo ndugu yangu. Huko kwako vipi? Nawaombea sana huyu mdudu Korona asifike huko akapukutisha wazee wa Kisukuma aisee. Huku wahenga wanapukutika balaa. Siyo poa kabisa bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mbarikiwa Mwakipesile ndiye dereva wangu kokote niendako. Mnyakyusa yule anajua sana. Tena kuna nyimbo mbili za Kinyakyusa nazipenda balaa japo sijui kinachoimbwa...[emoji1545][emoji1545]
Kuna wimbo mmoja niliuweka humu, Pyaar alijitolea kukutafsiria, labda kama iliingiliana na darasa la Yego.
Naupenda uimbaji wake wa kusimulia. Jana nimepishana nae Kabwe nafsi ikasuuzika maana nilikuwa nausikiliza wimbo wake wa tenzi "Wanadamu tukifanikiwa tunasahu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…