Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni nini usingizi umenigomea wakati kesho ni siku ngumu??
Naingia new posts nakuta thread pendwa ndiyo ipo on, hivi huwa hamlali humu jamani!!
Bila uzi huu wengine (hasa sisi ma-introvert) tungekuwa tumeshawehuka. Na quarantine hii ya Korona mweh !!!

Unawaza nini mpaka usingizi umekugomea? Isije ikawa libaharia lisilojali ndiyo umelipatia huo moyo uliojaa amani, huruma na upendo ndiyo linaufinyanga tu linavyotaka. Sali halafu uuchape usingizi kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…