moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hey Bro,What's Up brother capitalpool
Ooh pole sana my crushHey Bro,
Nilpatwa na homa kali sana mwanzoni mwa weekend iloisha,
Sasa naendelea vizuri .. Covid 19 haina uhusiano na hali yangu hii.
Ahsante sana Crush I missed U.Ooh pole sana my crush
Hahahaa.!Bila uzi huu wengine (hasa sisi ma-introvert) tungekuwa tumeshawehuka. Na quarantine hii ya Korona mweh !!!
Unawaza nini mpaka usingizi umekugomea? Isije ikawa libaharia lisilojali ndiyo umelipatia huo moyo uliojaa amani, huruma na upendo ndiyo linaufinyanga tu linavyotaka. Sali halafu uuchape usingizi kwa amani [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Pole sanaHey Bro,
Nilpatwa na homa kali sana mwanzoni mwa weekend iloisha,
Sasa naendelea vizuri .. Covid 19 haina uhusiano na hali yangu hii.
Ahsante sana, habari yako Uncle?
Me too, I hope umepona sasaAhsante sana Crush I missed U.
Kwema ankoo mzima?
Pole sanaHey Bro,
Nilpatwa na homa kali sana mwanzoni mwa weekend iloisha,
Sasa naendelea vizuri .. Covid 19 haina uhusiano na hali yangu hii.
Hahahaha eti unkwepekable, kwa kweli mie smartphone yangu ndiyo bestfried wangu hata nikisema nilale yenyewe itaniamsha kwanini nalala naiacha peke yake kwahiyo najikuta naamka naipa company teh.Jamani pole mama, mie inatokea mara chache..!!
Mwenzio nimeweka simu mbali toka satano ili niwahi kulala, nikashangaa lisaa limeisha ngoma inasoma bila bila ni stress tu, nikasema simu babe njoo tu Mimi na wewe ni wamoja.!
Na kesho lazima nisinzie akii that is unkwepekable..!!
Natumai ulilala mapema na ulilala vizuriNasinzia kiboya hapa