Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe bro weweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijui kwanini nimecheka sana baada ya kuona hii post yako.....

Kwamba unataka kuoverlap, unataka nijue kwamba unaona ninavyokatiza msitu wa mabeki, unataka pass yani sikuelewi ujue πŸ˜€
 
Anko bwana ule uzi wako wa jana umenifanya nimekula za uso huko mbele ya watu wenye misimamo na hoja zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana Ankoo.

Mimi nilikwambia soma tu wanacho andika, zaidi ya hapo ilikuwa ni kusifia mamlaka ili uwe upande salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baki nyumbani hakuna kuzurula utapata Corona huko kuna msongamano wa watu [emoji23][emoji23]

Yamenikuta yale ya Mkoka
Wacha wee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usinambie nawewe ulitukanwa lile tusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama unayo nitumie kwakweli,
Nimetoka kuitazama tu yuchubu, nikakutana na hisia za moyoni ya Songa nikafuraahi.!
Bado nawaza wewe Carleen ni mtu au Jini πŸ˜€

Ana sura ya ukweli, figure hatari, kiuno kimejinyonga kama kitanzi na macho ya duara kama roundabout ya Msimbazi.....
 

Attachments

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana Ankoo.

Mimi nilikwambia soma tu wanacho andika, zaidi ya hapo ilikuwa ni kusifia mamlaka ili uwe upande salama

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ asante sana Anko, siku nyingine nitakua nasikiliza maagizo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…