Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huku hatujambo ndugu yangu. Huko kwako vipi? Nawaombea sana huyu mdudu Korona asifike huko akapukutisha wazee wa Kisukuma aisee. Huku wahenga wanapukutika balaa. Siyo poa kabisa bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huku pia tunaomba iwe hvyo bro, hope Muumba anatusikia na atatukinga na hili bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…