Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio maana nimekuambia changanya kwa makadirio yako wewe mwenyewe alafu unaweza kuachana na hiyo ice cream ukatumia Chocolate tu ya kawaida
Chocolate ya kawaida naiyeyusha kwanza???

Kweli asali nitaweka kidogo maana siipendi..asali Ni ya watoto

Watoto wanapenda asali
Watoto wanapenda sukari
Hawapendi ukali
Maisha kufika...
Na Tena kwa msoto mkali

I love you nananana

Niki2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ngoma inaitwa Safari πŸ˜€

Chocolate unaiyeyusha na nini Anne? Mbona ukiiweka tu kwenye Brenda haina shida inasagika
 
Watu wa Conspiracy wanamtuhumu kuwa lab yake kule Wuhan ambayo ameifunga mwishoni mwa mwaka jana inawezekana ndiyo muundaji wa Kirusi hiki. Kama anasema hivi basi anajua anachokisema. Kwa Afrika tuombe Mungu tu kisifike kwa makali haya kiliyonayo huko kwa wenzetu. Itakuwa kasheshe !!!
 
Ila asali mmmh[emoji848]
Nitaweka kidogo..sipendi asali.
Nikipata muda kesho nitaenda kuisaka ice cream

Sent using Jamii Forums mobile app
Hupendi asali wakati unatuhumiwa kuwa una mzinga kabisa tena umejaa asali tamu natural unfiltered [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2099][emoji2099]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…