Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Miembe?
Nimepiga hela sana pamoja na vitumbua/chapati ili kuwaandikia watu barua hizi darasa la 7 mpaka fomu tu huko kwa sababu nilikuwa najua kujieleza na kuchora vimaua pembeni tena kwa umaridadi wa juu [emoji16][emoji16][emoji16]
ππππ hiyo ya Google aisee, ila matumizi ya Choco.... yanazingatiwa sanaMeno ya davet yaleeeee
Aiseee asante utafiti wa chocolate cheiiii
Utafiti wa nchi gani huu?Uhusiano: Huchukua miezi 04 na kuendelea kwa mwanaume kuanza kumhudumia mpenzi wake akiwa na furaha kufanya hivyo kama kumnunulia chakula n.k, Wanawake ni miezi 05.Chanzo: Unilad
[emoji23][emoji23][emoji23]ππππ hiyo ya Google aisee, ila matumizi ya Choco.... yanazingatiwa sana
ππππUhusiano: Wanaume hujiamini kuwa watupu (uchi) mbele ya mpenzi/mchumba wake baada ya miezi 05, Wanawake ni miezi 08 (Tangu kuanza kwa uhusiano).Chanzo: Unilad
UnilandUtafiti wa nchi gani huu?