Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hakika bro!!Hakuna kitu kinachodumu milele
View attachment 1413026
Miche ya nini hii Ostaadh?
Sawa stela
Nimepiga hela sana pamoja na vitumbua/chapati ili kuwaandikia watu barua hizi darasa la 7 mpaka fomu tu huko kwa sababu nilikuwa najua kujieleza na kuchora vimaua pembeni tena kwa umaridadi wa juu [emoji16][emoji16][emoji16]
Hili ni stafeli?
Kwema kaka, mambo niaje?mishemishe vipi pande hzo?Kwema bro
Kuna kipindi huwa anani boreBad Bi**** but special
#BBBS
Usikatae sifa bhanaHiyo 8 umenisingizia[emoji23][emoji23][emoji23]
Daz baba..
Davet naomba hiyo ngoma nisikilize
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachaaaa[emoji39]Chukua Avocado + Chocolate + Milk + Honey
Fanya makadirio yako alafu fanya kuvichanganya kwenye Brenda kisha uvisage kwa pamoja
Hii ni nzuri zaidi ukiinywa ikiwa ya baridaa