andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Usisahau kuwa lina visiwa(ila sikuangalia vizuri kama ndani ya tuvisiwa kuna tuziwa tena) vidogo vidogo ambavyo hukaliwa/huishi nyani.Ziwa Ngosi: Hakuna mto unaoingiza wala kutoa maji, ni sawa na maji kwenye bakuli. Kina cha maji hakibadiliki.
Duh! Huyu hata ukiwa top haiwezekaniki.inabidi kubuni staili nyingine
Nimefanya nini mpendwa?[emoji16][emoji16][emoji16] the Don wewe
Mungu hakupi vyote japo kuna wachache wamepewa vyote [emoji16][emoji16][emoji16]
Eeenheee... Ankoo nalitaka hilo, yule msichana nimemvua sana nguo yaani mpaka anabaki mpyeeee... Yaani unyoya nyoya huu hapa.Pembeni kuna picha ya mrembo kila ukishinda anavua kanavua nguo moja moja
Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Duh! Huyu hata ukiwa top haiwezekaniki.inabidi kubuni staili nyingine
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wewe yaani basi tu....Ila in real life waweza kuwa mpoleeeee huna maneno na mtu kabisa.
#AnonimaziForeva
Ofkozi aiem[emoji7][emoji7][emoji7]Nimefanya nini mpendwa?
Bai ze wei yu a mai taipu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Na Wengine hawana vyote
Ankoo shikamooUsisahau kuwa lina visiwa(ila sikuangalia vizuri kama ndani ya tuvisiwa kuna tuziwa tena) vidogo vidogo ambavyo hukaliwa/huishi nyani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula unenepe..View attachment 1413067
Wakikutana na yule ben10 wake huwa wanakera sanaKuna kipindi huwa anani bore
Sema she is a special bad b**** and i like her
Ooh! Naanzaje kupinga sasa?Njoo nikushike mkono[emoji39]View attachment 1413052
😁😁😁Wachaaaa[emoji39]