Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Food can kill you. Be careful....

Na mtu unaponenepa mpaka kufikia steji hii unakuwa hushtuki tu ukapunguza msosi. Imagine huo moyo unavyohangaika kusukuma damu ...
811da4ec-4171-4bdf-88bc-fc4548713932.jpg
 
Paderborn ambao wapo kwenye hatari ya kushuka daraja katika mazoezi yao walionekana kuwa makini nao kama ilivyo kwa wenzao huku kocha wao, Steffen Baumgart akisema ni muhimu wachezaji kuendelea kuwa katika viwango vyao, "Wanatakiwa kuwa fiti."
 
"Yamekuwa mazoezi tofauti ni vile ambavyo imezoeleka katika makundi ambayo yalikuwa na uangalizi wa hali ya juu, nimefurahi kuonana na wachezaji wenzangu kwa mara nyingine tena," alisema nahodha wa Bayern, Manuel Neuer.
 
kwa wale wenye kingamuzi cha Azam tuwahamasishe watoto wetu tayari Bakhresha ameshaanzisha masomo kila siku ya jumatatu hadi ijumaa saa 4 mpaka 11 masomo yote kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita tena wanafundisha vizuri hasa fungua chanel no 100 inaitwa AZAM EXTRA
 
Back
Top Bottom