Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2.28281232716413773E18.jpg
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hapa ndiyo maana tunaelewa umuhimu wa kuiweka na kuiendeleza La masia Muda wote ili kuzalisha viungo kama ninyi na wakina Thiago Alcantara

Nakubali sana Bro
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😀😀 Daah!
 
Jamie Carragher & Gary NevilleUtashangaa kwa sasa kuona wawili hao wakiwa marafiki na kufanya kazi ya uchambuzi wa soka kwenye televisheni. Lakini, walipokuwa wakicheza, wawili hao walikuwa maadui wakubwa na wenye bifu kali. Shida ni wachezaji hao kila mmoja alikuwa akiipenda sana timu yake anayochezea na Neville alikuwa Manchester United na Carragher ni Liverpool na kama inavyofahamika upinzani wa timu hizo mbili zinapokutana. Jambo hilo lilifanya Neville na Carragher kuwa kwenye bifu kali.
 
Fernando Torres & Nemanja VidicNemanja Vidic alikuwa mmoja wa mabeki bora kabisa waliowahi kutokea kwenye Ligi Kuu England. Lakini, ubora wake wote alikuwa akipata shida sana alipokutana na straika Fernando Torres. Kipindi ambacho Torres alikuwa Liverpool, alimsababishia Vidic kutolewa nje mara mbili kwa kadi nyekundu, ilikuwa 2008. Wawili hao walikuwa kwenye bifu kubwa na iliendelea kuwa hivyo hata Torres alipohamia kwenye kikosi cha Chelsea na ilikuwa balaa uwanjani Stamford Bridge 2014.
 
Alan Shearer & Roy KeaneMastaa hawa wawili walikuwa ngumi mkononi. Kila walipokutana basi ilikuwa balaa kubwa ndani ya uwanja. Mambo yalianzia mwaka 2001, wakati Keane alipomkosa kwa konde kali straika Shearer. Baada ya hapo, yaliibuka majibizano makubwa kwenye korida za kuingilia vyumbani. Shearer alikwenda kulipa kisasi ndani ya uwanja kwa kupiga kiwiko katika mechi iliyopigwa uwanjani Old Trafford. Wawili hao walikuwa kawatazamani usoni hadi walipostaafu soka.
 
Back
Top Bottom