Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200408_201452.jpg
 
Tatizo lako hata kule kwa Mshana hujawahi kuweka picha yako hata kwa makosa. Kwa hiyo hizi zinabakia kuwa ni tetesi tu. Si ajabu mtu mwenyewe kimbaumbau balaa. Ushindweee!!!
Hahaha eti kimbaumbau, kwenye familia yetu hatuna mwembamba achilia mbali kimbaumbau. Cha ajabu wanasema mimi nilizaliwa na kamwili kadogo kuliko wote hadi wakawa wanamtania mama eti kabadilishiwa mtoto hospitali ila mimi ndio naongoza kwa mwili
 
Back
Top Bottom