Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Watu Hujamba Hata Baada ya Mauti Kuwafika
Maiti huendelea kutoa gesi hadi masaa matatu baada ya mtu kufariki dunia, hii huambatana na milio ya kujamba. Hali hii husababishwa na misuli kusinyaa.
UKIPATA MUDA JAMBA