Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ankoo kumekuchaje huko?Daah hili shairi lako sijalielewa anko
Amen na kwako pia ankoAnkoo kumekuchaje huko?
Fuatilia utafiti wa Ester kuhusu ziwa Ngosi nikadandia treni kujazia nyama, nikajua na wewe unaongezeka au unapinga ile ya tuvisiwa.
Siku ya leo ikawe siku yako kwa kila hitaji kutimia vile Mungu atakavyoona inafaa juu yako[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi mambo niliziona zamani. Kweli kuna vitu vinapotea. Mchina ndio kaleta vya mfano wake.Tamaduni, asili zetu[emoji3590]View attachment 1408191View attachment 1408192
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona tunanunua viberiti vya kenya kama kujamba kunawasha moto?Ushuzi Unawasha Moto
Kama ilivyoandikwa hapo juu. Methane na hydrogen inayozalishwa na ushuzi inaweza sababisha moto.