Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aisee. Wacha tupunguze kulaFood can kill you. Be careful....
Na mtu unaponenepa mpaka kufikia steji hii unakuwa hushtuki tu ukapunguza msosi. Imagine huo moyo unavyohangaika kusukuma damu ...
View attachment 1413216
Muone. Wewe paja moja tu la huyu mama hulifikii uzito wako wote [emoji16][emoji16][emoji16]Aisee. Wacha tupunguze kula
Hahaha nikiendelea kula hivi hivi walah nitamfikiaMuone. Wewe paja moja tu la huyu mama hulifikii uzito wako wote [emoji16][emoji16][emoji16]
Niko poa kabisa Cole
Pole and wc back!!Shukran
Shukran asantePole and wc back!!
Tatizo lako hata kule kwa Mshana hujawahi kuweka picha yako hata kwa makosa. Kwa hiyo hizi zinabakia kuwa ni tetesi tu. Si ajabu mtu mwenyewe kimbaumbau balaa. Ushindweee!!!Hahaha nikiendelea kula hivi hivi walah nitamfikia