Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Hahaha eti kimbaumbau, kwenye familia yetu hatuna mwembamba achilia mbali kimbaumbau. Cha ajabu wanasema mimi nilizaliwa na kamwili kadogo kuliko wote hadi wakawa wanamtania mama eti kabadilishiwa mtoto hospitali ila mimi ndio naongoza kwa mwiliTatizo lako hata kule kwa Mshana hujawahi kuweka picha yako hata kwa makosa. Kwa hiyo hizi zinabakia kuwa ni tetesi tu. Si ajabu mtu mwenyewe kimbaumbau balaa. Ushindweee!!!
Bila picha hizi ni porojo tu !!!Hahaha eti kimbaumbau, kwenye familia yetu hatuna mwembamba achilia mbali kimbaumbau. Cha ajabu wanasema mimi nilizaliwa na kamwili kadogo kuliko wote hadi wakawa wanamtania mama eti kabadilishiwa mtoto hospitali ila mimi ndio naongoza kwa mwili
Tulifakiana[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1413251
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Bila picha hizi ni porojo tu !!!
Yaani hutabiriki aisee. Eti mlifakiana [emoji16][emoji16][emoji16]Tulifakiana
Hahaha eti kimbaumbau, kwenye familia yetu hatuna mwembamba achilia mbali kimbaumbau. Cha ajabu wanasema mimi nilizaliwa na kamwili kadogo kuliko wote hadi wakawa wanamtania mama eti kabadilishiwa mtoto hospitali ila mimi ndio naongoza kwa mwili