Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Shida ya hii mizigo ya Kichina ni kwamba sometimes madaktari inawashinda kubalansi kiasi kwamba unakuta tako moja kubwa kuliko jingine; au wanashindilia nyama weee wanasahau kwamba mtu ana tupaja tudogo matokeo yake hata ladha kwa mtazamaji inakosekana [emoji16][emoji16][emoji16]
Nicole Joyce Berry [emoji267] (@nicolejoyberry) • Instagram photos and videos
Food can kill you. Be careful....
Na mtu unaponenepa mpaka kufikia steji hii unakuwa hushtuki tu ukapunguza msosi. Imagine huo moyo unavyohangaika kusukuma damu ...
View attachment 1413216
Food can kill you. Be careful....
Na mtu unaponenepa mpaka kufikia steji hii unakuwa hushtuki tu ukapunguza msosi. Imagine huo moyo unavyohangaika kusukuma damu ...
View attachment 1413216