D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
KweliMchina ni mchina tu, hata akipaka mkorogo hawezi kuwa muhindi View attachment 1413164
Mungu tuepushie corona🙏🙏🙏Tuombe sana. Watu wanapukutika kama nzige. Maisha yamebadilika sana. Ikiwezekana fungeni na kukesha hali hii isiwafikie [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Safi sanakwa wale wenye kingamuzi cha Azam tuwahamasishe watoto wetu tayari Bakhresha ameshaanzisha masomo kila siku ya jumatatu hadi ijumaa saa 4 mpaka 11 masomo yote kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita tena wanafundisha vizuri hasa fungua chanel no 100 inaitwa AZAM EXTRA