Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Jaman mkubwa hivi naitwa mtotoooooWewe mtoto hujambo?
Kuna link ya uzi wa uhusiano wa busha na miungurumo umeweka ila sioni tena
Umenikumbusha mpendwa kusuka ukindu nilijua kwa kipigo
Moja kwa moja ata sijaona vingine
Unipe sasa ninywe na Mimi[emoji7][emoji7][emoji23]
ππππJaman mkubwa hivi naitwa mtotooooo
Sijambow mzima?
Ni uzi wa mod paw kama link haipo basi kapita nayo. Ngoja nikakuletee nyingine
Kwahiyo hata ukindu hujauona?Moja kwa moja ata sijaona vingine
Kunywa si ile pale nimekuwekeaUnipe sasa ninywe na Mimi[emoji7][emoji7]
Yaani Mambo ya kula nayapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali chokozi hiliKwani unalo?
Mkubwa kwa watoto wenzio ila kwa wakubwa zako ni mtoto tu...Jaman mkubwa hivi naitwa mtotooooo
Sijambow mzima?
Ni uzi wa mod paw kama link haipo basi kapita nayo. Ngoja nikakuletee nyingine
πππ mwenye anatakiwa kulijibu umeona alivyolipangua kisayansi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]swali chokozi hili
Heeh kumbe kuna ukindu? Ngoja nirudi kwenye picha kuangaliaKwahiyo hata ukindu hujauona?
Jinga wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
D ni nini lakini unataka kunipa scandal? ππππ mwenye anatakiwa kulijibu umeona alivyolipangua kisayansi
Dah[emoji26]Kunywa si ile pale nimekuwekea
Chizi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Heeh kumbe kuna ukindu? Ngoja nirudi kwenye picha kuangalia
[emoji3][emoji3][emoji3]
Msalimie mwenye kiganja chake....me naweza kusuka yale majani ya kanisani tu kwenye jumapili ya matawiUkindu
Kama huu juu tunachemshia na rangi unakuwa namna hiyo ndipo tunasuka
Au
Tunasuka kwanza ukindu mweupe bila kuweka na rangi
Halafu tunachemsha na rangi baada ya kumaliza kiri
Kiri yake Ni Kama hiyo ya chiniView attachment 1413602View attachment 1413605
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka akimbiwe na asaliπππ mwenye anatakiwa kulijibu umeona alivyolipangua kisayansi
Kwani ulisemaje? Umeniambia eti me mwenyewe nataka kujua connection iliyopo. Hujasema kama lipo au halipoD ni nini lakini unataka kunipa scandal? π
Asali ya nyuki wa machine ama π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka akimbiwe na asali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daahMkubwa kwa watoto wenzio ila kwa wakubwa zako ni mtoto tu...
Poa sana Numby....
Aya lete