Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


[emoji28][emoji28][emoji28]
Nimesoma koment yangu Nimegundua kitu, Hakuna shida Mimi kuongelea Filimbi Shida ni huo uwasilishaji wangu ndio umeleta ukakasi
.
La kuongezea Mimi nilikuaga Bonge Sana
Nlikua nahiy shida Ndio mana nikasema kwa unene huo yeye hawezi Hata afanye

Nakazia Shida ni huo ni Uwasilishaji wangu wala sio Mimi kuongelea filimbi
" Nimeandika Soft Sana Ndio Tatizo na ndio ulipaswa wewe useme hilo sio Mimi kuzungumzia filimbi "
Mfano. Mimi kutaja Uume hii imeleta Shida ningeandika neno Kama (Ndonga)
Yaani Ningeandika Kama vile Niko na Masela wala tusingefika huku
[emoji28][emoji28][emoji28]

Haya si Matusi haya Aisee ?
" kwa mwanamke mpenda wanaume kuliko mwanamke mpenda wanawake "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…