Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
I Don't have any doubt about it...Namshukuru Mungu brodah'..! Tunaendelea kupambana si unajua wagumu tunadumu..!?
Mungu atulinde na kutuepusha kiukweli..!!
Mdogo wako bado niko imara, Promish you thach 'I won't let you down sindiyo eeh'.!? And that is what I will do.!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]itapendeza sana...... pengine under 18 watakuheshimu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
InasikitishaHawa rappers na unga dah! Binti mdogo tu halafu mrembo....Sad !!!
View attachment 1415135
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]“Wizara inatoa taarifa juu ya uwepo wa wagonjwa watano wa corona ambao wote ni Watanzania na wakazi wa DSM, aidha Waziri wa Afya Zanzibar ametangaza wagonjwa wapya wawili, hivyo waliothibitika kuwa na corona Tanzania hadi sasa ni 32 ambapo kati ya hao watano wamepona na 24 wanaendelea vizuri na matibabu”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu •
•
“Tunasikitika kutoa taarifa ya vifo viwili vilivyotokea leo miongoni mwa wagonjwa wa corona ambavyo ni Mwanaume(51) Mtanzania mkazi wa DSM na Mwanaume (57) Mtanzania Mkazi wa DSM hivyo kufanya idadi ya vifo vya corona Tanzania kufikia vitatu”-WAZIRI UMMY
#MillardAyoCORONATZ
Mficha maradhi.....“Wizara inatoa taarifa juu ya uwepo wa wagonjwa watano wa corona ambao wote ni Watanzania na wakazi wa DSM, aidha Waziri wa Afya Zanzibar ametangaza wagonjwa wapya wawili, hivyo waliothibitika kuwa na corona Tanzania hadi sasa ni 32 ambapo kati ya hao watano wamepona na 24 wanaendelea vizuri na matibabu”-Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu •
•
“Tunasikitika kutoa taarifa ya vifo viwili vilivyotokea leo miongoni mwa wagonjwa wa corona ambavyo ni Mwanaume(51) Mtanzania mkazi wa DSM na Mwanaume (57) Mtanzania Mkazi wa DSM hivyo kufanya idadi ya vifo vya corona Tanzania kufikia vitatu”-WAZIRI UMMY
#MillardAyoCORONATZ