Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nchini India jiji la New Delhi lipo kwenye Lockdown.
Katika siku za karibuni ambako watu wamejifungia majumbani wanyama wa mwituni kama Ngedere, nyani na majoka aina ya cobra yamevamia jiji hilo yakivinjari kila kona na vichochoro.
Mbali ya wanyama hao wanyama kama Ng'ombe ambao wenyeji wa huko wamewafanya miungu wao nao wamekuwa kero kwenye jiji hilo.
Ng'ombe wameongezeka maradufu mjini New Delhi
 
Dunia nzima inapumua. Picha za satellites zinaonyesha pollution imepungua sana na atmosphere inajisafisha yenyewe. Moshi wa uchafu uliokuwa umetanda katika majiji mengi huko China na kwingineko sasa umetoweka. Pomboo (dolphins) wamerudi kwa wingi katika pwani ya Italia kwa vile hakuna meli zinazoingia wala kutoka. Wanyama wanafanya sherehe...mpaka pale Homo Sapiens atakaporudi tena mtaani....
 
Utulivu ndio chanzo cha haya
 
Mashine zenyewe za kupima watu ziko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Trump leo kakiri kuwa haitawezekana kuwa na mashine nyingi za kufanyia vipimo kama wanavyotaka; na havihitajiki sana japo watu wanakufa. Na anataka kuondoa quarantine mwishoni mwa April. Afe refa afe kipa uchumi lazima urudi katika hali ya kawaida....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo Paul Scholes, Jordan Henderson, Jonas Mkude na Fey Toto na Salum Abubakar waachwe tu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…