Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Hahaha anko bwana, haya nimekusikiaWachumba wenyewe dizaini za akina Yego wa nini? Waende tu, waje wale wanao weza kuhimili mikiki miliki ya mwanamke imara asiye tetereka [emoji1][emoji1][emoji1]
Usibadilike sana, tunakosa uwepo wako hapa. Hata Stella akiacha ubishi nae nitamuomba asiache...
Sent using Jamii Forums mobile app
1&2 π
AminHali hiyo ikifika hapa kwetu (Mungu aepushie mbali)
Tutapoteza watu wengi kwa njaa kuliko ugonjwa wenyewe.
Na huo ugonjwa ukimpata mwenye njaa sidhani kama atamaliza siku hata mbili.
Mungu atunusuru na maradhi haya ya kitajiri
ββAsubuh ya milkashake
Duh!ππ
Haya bro, kwema lakini pande hizo?Sema hapo na mimi sikufikiria... Ila wanawake wana nguvu jamani [emoji1][emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndo Nishakuwa sehemu ya Familiaππππππ
Siku hizi umekuwa mtu wa ligi kama aunt yako
#AtawezanaπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Karibu tandahimba
ππ usisahau box la ChoclateHatujachanganyikana kabisa bro siunajua vile watu wanajifungia tu ndani mwao, nasikia huyo mshua alidondoka kutoka majuu na alianza kuugua home mpaka hali ilizidi ndio kwenda hospital...
Huyu TH sijui atakubali kunipokea huko kusini tukafanye kutengeneza Milkshake
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hii ni hatari sana πSi ndo Nishakuwa sehemu ya Familiaπ
#VyaKurithi
#Vinazidi